Nyimbo Za Kristo
Kopija sedmog adventističkih pjesama u Swahiliju.
Pojedinosti O Aplikaciji
Advertisement
Opis Aplikacije
Analiza I Pregled Android Aplikacija: Nyimbo Za Kristo, Razvijen Od Awesomecode Tanzania. Navedeno U Kategoriji Knjige I Priručnici. Trenutna Verzija Je 2 . 4 . 2, Ažurirana Na 31/08/2025 . Prema Recenzijama Korisnika Na Google Playu: Nyimbo Za Kristo. Postignute Više Od 158 Tisuća Instalacije. Nyimbo Za Kristo Trenutno Ima 801 Recenzija, Prosječna Ocjena 4.9 Zvijezda
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA PRETAPW.Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufarija wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (hvala hymnserve.com za
pratnje).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafaa.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu je naveden naziv za Justin Diva i Godfrey Diva
utukufu wa Mungu.
Trenutno Nudimo Verziju 2 . 4 . 2. Ovo Je Naša Najnovija, Najoptimiziranija Verzija. Prikladan Je Za Mnogo Različitih Uređaja. Besplatno Preuzmite Izravno Apk Iz Google Play Store -A Ili Drugih Verzija Koje Ugošćujemo. Štoviše, Možete Preuzeti Bez Registracije I Nije Potrebna Prijava.
Imamo Više Od 2000+ Dostupnih Uređaja Za Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... S Toliko Opcija, Lako Vam Je Odabrati Igre Ili Softver Koji Odgovara Vašem Uređaju.
Može Vam Biti Korisno Ako Postoje Bilo Kakva Ograničenja Zemlje Ili Bilo Kakva Ograničenja Sa Strane Vašeg Uređaja U Google App Storeu.
Changelog / Što Je Novo
Imeongeza Nyimbo za Kristo Kitabu kikubwa (Tumia menu juu kushoto).