Nyimbo Za Kristo
Uma cópia das músicas adventistas do sétimo dia em suaíli.
Detalhes Do Aplicativo
Advertisement
Descrição Do Aplicativo
Android App Analysis And Review: Nyimbo Za Kristo, Desenvolvido Por Awesomecode Tanzania. Listado Na Categoria Livros E Referências. A Versão Atual É 2 . 4 . 2, Atualizada Em 31/08/2025 . De Acordo Com Os Usuários, Avaliações No Google Play: Nyimbo Za Kristo. Alcançados Sobre Instalações 158 Mil. Atualmente, O Nyimbo Za Kristo Possui 801 Críticas, Classificação Média De 4.9 Estrelas
Nyimbo za Kristo ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 220 kutoka katika kitabu cha Nyimbo za Kristo cha kanisa la Waadventista Wasabato kwa lugha ya Kiswahili kama kilivyohaririwa na kuchapwa na TANZANIA ADVENTIST PRESS (TAP).Programe hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote, Nyimbo za kuburudisha, kutia moyo na kukufariji wakati wa huzuni.
Sifa za program ni kama zifuatazo:-
• Inahuisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwa
neno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au maneno
yaliyo ndani ya wimbo.
• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupata
kwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.
• Inakuwezesha kuona nyimbo kwa makundi.
• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (graças a hymnserve.com por
os acompanhamentos).
• Inakuwezesha kucheza ala ya wimbo hata usipokuwa kwenye programu
• Inakuwezesha kuona wimbo unaocheza
• Inakuwezesha kukuza ukubwa wa maandishi wa maneno ya wimbo kadri unavyoona
inafá.
• Inakuwezesha kuona wimbo uliofunguliwa mara ya mwisho kwa kuuangaza.
• Inakuwezesha kushiriki maneno ya wimbo na ndugu jamaa na marafiki kwa urahisi.
• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira ya
Mwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.
Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva na Godfrey Diva kwa
utukufu wa Mungu.
Atualmente, Estamos Oferecendo A Versão 2 . 4 . 2. Esta É A Nossa Versão Mais Recente E Mais Otimizada. É Adequado Para Muitos Dispositivos Diferentes. Download Gratuito Diretamente Apk Da Google Play Store Ou De Outras Versões Que Estamos Hospedando. Além Disso, Você Pode Baixar Sem Registro E Nenhum Login Necessário.
Temos Mais Do Que Os Dispositivos 2000+ Disponíveis Para Samsung, Xiaomi, Huawei, Oppo, Vivo, Motorola, LG, Google, OnePlus, Sony, Tablet ... Com Tantas Opções, É Fácil Escolher Jogos Ou Software Que Se Encaixem No Seu Dispositivo.
Pode Ser Útil Se Houver Restrições De País Ou Restrições Do Lado Do Seu Dispositivo Na Google App Store.
Changelog / O Que Há De Novo
Imeongeza Nyimbo za Kristo Kitabu kikubwa (Tumia menu juu kushoto).